snot

n 1 kamasi. 2 mwenye kamasi. 3 (sl) kizabizabina. snot-rag n (sl) kitambaa cha kamasi, leso. snotty adj 1 (vulg) -enye makamasi. 2 -epesi kwa hasira. 2 ~ (nosed) adj (sl) -a kujihisi, -a kujiona; mtu anayejidaidai; mwenye dharau.