snivel

vi 1 vutavuta kamasi, penga. 2 lialia kwa kujifanya n 1 kamasi. 2 kulia kwa manung'uniko. sniveller n mpengaji (kamasi); mnung'unikaji.