snipe

snipe

n 1 kichonge: aina ya ndege.

snipe

vt 1 ~(at) tungua, dungua/adui mmoja mmoja kutoka mafichoni kwa risasi. 2 shambulia kwa hila n shambulio. sniper n askari doria, mdunguzi.