sneer

vi ~(at) kenua, cheka kwa dharau, dhihaki, beza n kukenua, dhihaka, dharau, bezo. sneeringly adv kwa dhihaka, kwa dharau.