snatch

vt 1 nyakua, pokonya, kwapua, chopoa. 2 twaa upesi, chukua upesi. ~ an opportunity tumia fursa chukua n 1 kukwapua, kunyakua. (attrib) a ~ decision n uamuzi wa ghafla. 2 kipindi kifupi short ~es of music vipindi vifupi vifupi vya muziki work in ~es fanya kazi kwa vipindi vifupi. snatcher n mkwapuaji, mnyakuaji.