snare

n 1 mtego,kitanzi. 2 (fig) kishawishi, ghiliba. 3 ugwe ufungwao katika tako la ngoma ya pembeni. ~ drum n ngoma nyugwe vt nasa, kamata, tega.