smother

vt 1 songa roho, kaba roho. 2~ something/somebody with something funika, gubika. 3 zima; punguza nguvu ya moto (kwa kufunika majivu). 4 zuia, ficha one's anger zuia hasira n (usu. a smother) wingu la moshi, mvuke, vumbi n.k.