smooth
adj 1 laini, -ororo,sawa, mfuto. ~ bore n laini; (of a gun) -a mtutu laini, -a mtutu usio na mifereji. ~ faced adj (fig) nafiki. 2 rahisi; taratibu, tulivu I am in ~ water now nimetulia baada ya kupita vipingamizi vingi. take the rough with the ~ chukulia mambo jinsi yalivyo/yanavyotokea. 3 (of liquid mixture) tamu; liopondwa/ kandwa vizuri; laini. 4 (flattering) -a kujipendekeza, -a kurairai. ~ faced/spoken adj nafiki, -enye kurairai. 6 (compounds) ~ chinned adj 1 -sio na ndevu. 2 -a kidevu mfuto vt 1 ~something (down/ out/ away/over), sawazisha, lainisha, rahisisha, ondoa shida. ~ somebody's path (fig) rahisisha mwendo/maendeleo. 2 piga randa; piga pasi, piga msasa, siliba. 3 tulia; tuliza; punguza. 4 (compounds) ~ing-iron n pasi. ~ing-plane n randa. smoothly adv 1 bila kukwaruza. 2 kwa urahisi, kwa wepesi; bila taabu. smoothness n 1 ulaini, usawa. 2 upole, urahisi.