smell

n 1 (mlango wa fahamu wa) kunusa. 2 harufu; kunuka, kunukia. 3 unusaji, kunusa. (bad) uvundo. 4 (body) gugumu. 5 (armpits) kikwapa, kutuzi. 6 (fish) vumba. vi,vt 1 nusa, sikia harufu. ~ round/about pita pita kupata habari. ~ something out gundua, tafuta kwa kutumia hisi za mnuso au akili. 2 ~(of something) toa harufu; nukia; nuka. 3 shuku. ~ of the lamp (of work) -nayoelekea kuwa ilifanywa usiku sana kwa juhudi kubwa. ~ing salts n pl shazasi. ~ing bottle n chupa yenye shazasi. smeller n 1 mnusaji; kinachohisi kwa kunusa (mbwa, paka). 2 (sl) pua. smelly adj (colloq) -enye kunuka.