smear

n doa; mpako; waa. ~ word n neno la kashifa; neno la stihizai vt,vi 1 ~s th on/over/with paka/ kidogo, paka/tia madoa (ya mafuta). 2 chafua (kwa grisi, mafuta); (fig) haribu jina la mtu, paka mtu matope. a ~(ing) compaign n kumpaka mtu matope. 3 funika, fifisha. smeary adj.