small

adj 1 -dogo. ~ fry n watu hohehahe; makabwela. 2 dogo, sio muhimu. ~ talk n porojo, soga. be thankful for ~ mercies shukuru kwa kidogo ulichopata. 3 (attrib) ~ eater mtu anayekula kidogo. 4 finyu; bahili, choyo. ~ minded adj enye akili finyu. 5 -a hali ya chini, nyofu. great and ~ watu wa matabaka yote.6 in a ~ way kwa namna yake. 7 (compounds). ~ arms n silaha nyepesi (bastola, bunduki). ~ change n sarafu ndogo; (fig) porojo. ~ holder n mkulima mdogo. ~ holding n shamba. ~ letters n herufi ndogo. smallpox n ndui. smalltime adj (colloq) duni, dogodogo. on the ~ side ndogo mno (kwa kiasi fulani). look/feel ~ dhalilika. smallness n. the ~ of sehemu nyembamba. the ~ of the back kiuno. smalls n (colloq) vitu vidogo vidogo vya kuvaa (k.m. chupi; mkanda). the still, ~ voice n dhamira.