smack

smack

1 n 1 kibao, kofi. get a ~ in the eye (colloq) pata hasara/kipingamizi. have a ~ at something (colloq) jaribu kufanya jambo. 2 mwaliko, sauti vt 1 piga kofi, zaba kibao. 2 ~ one's lips rambitia adv ghafula; kwa kishindo I hit him ~ in the nose nilimpiga kibao puani. smacker n (colloq) busu kali; pauni (pound) au dola (ya kimarekani). smacking n kupiga kofi; kualika.

smack

2 n mashua (ndogo) ya kuvulia samaki.

smack

3 n 1 (taste) mwonjo, ladha have a ~ of -wa na ladha/mwonjo wa vi -wa na ladha ya mwonjo wa; ashiria.