slum

n 1 the ~s n maeneo ya ovyo, mtaa wa ovyo. 2 kibanda cha ovyo ovyo. ~ clearance n ubomoaji na usafishaji wa mtaa wa ovyo vi 1 tembelea wakazi wa mtaa na kuwakimu. 2 toa msaada kwa maskini. 3 (colloq) ishi maisha ya chini. slummy adj.