sluice

n mlizamu vi,vt mwagia maji, lowanisha; tenga (madini na mchanga kwa kutumia maji). ~ (out) jaza na/osha kwa maji. ~ out (of water) toka kwa nguvu katika mlizamu. ~-gate n mlango mlizamu. ~-valve n vali mlizamu. ~-way n njia ya mlizamu.