slot

n 1 mpenyo, tundu jembamba. ~ machine n mashine yenye kitobo (ya kuuzia vitu). 2 njia. 3 (colloq) nafasi (katika kipindi cha TV, redio, n.k.) vt,vi 1 fanya tundu. 2 kata njia. 3 pangilia/panga kati ya, penyeza.