1vt,vi 1 (of liquids) mwagika pembeni. 2 ~ over somebody penda sana. 3 mwaga ~ beer over the table mwaga bia mezani. 4 ~ out mwaga maji machafu/mkojo. 5 chafua ~ tea all over the table chafua meza yote kwa chai. 6 chezea uchafu/matope. slopsn 1 maji machafu; mkojo; mavi (yaliyo kwenye chombo). ~-basin beseni la mabaki (mezani). ~-pailn ndoo ya mkojo (chumbani). 2 vyakula vya majimaji; uji, mchuzi,maziwa; chakula cha nguruwe.
slop
2n(pl)(esp. of sailors) magwanda; matandiko. ~ roomn (naut) chumba cha nguo (melini). slop-shopn duka la mtunguo.