slog

vt,vi ~ (at) piga, charaza (hasa ndondi na kriketi); tembea kwa bidii; fanya kwa bidii. slogger n mchapa kazi.