1n 1 utelezi; kuponyoka; kosa dogo, kujikwaa. (fig)~ of the tongue/pen kosa dogo katika kusema/kuandika. give the ~ to somebody ponyoka/toroka mtu. there's many a ~ twixt (the) cup and (the) lip(prov) binadamu hupanga Mungu akapangua. 2 (of pillow) foronya; (underskirt) gagulo. gym-~n vazi la msichana la kuchezea sarakasi. 3 karatasi nyembamba. 4 chipukizi. 5 kijana mwembamba. 6 (usu pl alsoslip-way) bunta, jahabu. 7 (pl) jukwaa dogo pembeni mwa jukwaa kuu. 8 (for earthen ware) tope la majimaji vi 1 teleza, serereka, sepetuka. 2 nyiririka, nyapa, nyata. 3 ponyoka, agaa, churupuka the cup ~ped from his hand kikombe. let something ~ achilia jambo/kitu bila kukusudia; toa/fichua siri. ~ through one's fingers(lit or fig) ponyoka. ~ one's mind(of a name, address, message) potea (akilini). 4 vuta/sukuma/vua vuta upesi upesi; penyeza. 5 achia (makosa madogo, n.k.) kufanyika (hasa kutokana na uzembe). ~ up(colloq) kosea. slip-upn kosa dogo. 6 (of ship, etc) penya. 7 achia huru; funguka, toka ghafla; (of a cow) zaa kabla ya wakati wake. 8 (compounds)~ carriage/ coachn behewa la mwisho (linaloweza kuachanishwa bila kufanya treni isiende). ~-covern foronya; kitambaa cha kufunikia samani. slip-knotn fundo la kitanzi; fundo linaloweza kufunguliwa kwa kuvuta ncha zake kwa urahisi. ~-roadn(US) (access road) barabara ndogo ya kuingia/kutoka baraste. ~-streamn mkondo wa hewa kutoka katika rafadha au injini za ndege. slippern(often Pairs of ~s) sapatu, ndara,makubadhi, koshi. slipedadj -liovaa sapatu/ makubadhi. slipperyadj 1 (of surface) telezi; (fig)(of a subject) nyeti, -enye kuhitaji uangalifu be on a ~pery slope(fig) elekea hatarini. 2 (fig of persons) -janja, -erevu, -laghai. slipperinessn 1 utelezi. 2 ujanja. slippyadj(colloq) 1 telezi; -a kuponyoka (kwa urahisi), -a kuchurupuka. 2 (dated) haraka look ~py fanya haraka.