slick

adj (colloq) 1 laini, telezi. 2 erevu, -a hila, janja, stadi adv moja kwa moja, barabara (sawasawa). vt lainisha. ~oil n utando wa mafuta. slicker n 1 (colloq) koti la mvua. 2 mwerevu, mjanja, alwatani.