sleep

n 1 usingizi; kulala. get to ~ pata usingizi; lala. go to ~ lala. have one's ~ out lala mpaka usingizi uishe. put somebody to ~ laza, fanya mtu alale. put (an animal) to ~ ua. 2 a ~ kipindi cha usingizi. n mtu atembeaye singizini,mzindukaji. sleepless adj bila usingizi. sleeplessly adv. sleeplessness n. vi,vt 1 lala be fit to ~ in lalika things to ~ on malazi. ~like a top/log lala fofofo. ~round the clock; ~ the clock round lala kutwa kucha. 2 laza, -wa na vitanda this hotel ~s 300 guests hoteli hii inavyo vitanda 300. (in compounds) ~ing-bag n fuko la kulalia. ~ing draught/pill n dawa ya usingizi. ~ing car n behewa la kulala. ~ing partner n (US) (silent partner) mbiamsiri. ~ing sickness n malale. sleeper n 1 mchapa usingizi be a light ~er -wa mwepesi kuamka. 2 taruma (relini). 3 kitanda katika behewa la kulala. ~ around (colloq) wa mkware. ~in/out lala kwenye/ mbali na sehemu ya kazi. ~ something off pona kwa kulala usingizi. ~ on endelea kulala. ~ on something fikiria (jambo) hadi kesho. ~ with somebody jamiiana na. ~through endelea kulala (licha ya makelele, n.k.). sleepy adj 1 -zito wa macho, -enye usingizi, -a kusinzia, -enye lepe. ~y head n msinziaji; mzito. 2 (places, etc.) tulivu; liopooza a ~y little town mji mdogo uliopooza. 3 (of some kinds of fruits) -lioiva sana. sleepily adv. sleepiness n.