slate

n 1 grife. 2 sleti, kibao. a clean~ n (fig) rekodi safi, jina zuri start with a clean ~ anza upya (baada ya kusamehewa/kusahau makosa ya nyuma). 3 rangi ya kijivu. 4 kigae. 5 jiwe jembamba. vt 1 ezeka kwa vigae. 2 (US,colloq) pendekeza mtu kwenye cheo/madaraka. 3 (colloq) lima. ~-club n chama cha kusaidiana. slate-pencil n kalamu ya sleti/grife. slaty adj 1 -a sleti. 2 -a rangi ya kijivu. ~ing n (colloq) karipio, kemeo, lawama.