slash

vt 1 kata, tema. 2 chapa (kwa kiboko). 3 laani/pinga vikali; shutumu. 4 (colloq) punguza sana. 5 chanja, toja. n 1 mchanjo; mtemo; tojo. 2 (vulg. sl) kukojoa. slasher n 1 kwanja, panga (la kufyekea nyasi), fyekeo. 2 kichanjio (kisu, wembe).