slap
n 1 kofi, kibao. get a ~ in the face (fig) kataliwa (kwa dharau); bezwa, dharauliwa. give a ~ in the face kataa (kwa dharau); puuza, beza, tweza give a ~ on the back pongeza mtu. vt piga/chapa/zaba kofi ~ down bamiza, weka kwa kishindo adv moja kwa moja. hit ~ on gonga, piga dango/shabaha. run ~ into somebody gongana na (mtu) kwa ghafla. slap-bang adv kwa nguvu, kwa kishindo, kwa vurumai. slap-dash adj -zembe, a harara, -purukushani in a ~dash manner kwa uzembe in a ~dash adv juujuu. ~-happy adj (colloq) -siojali. ~-stick n (fig) futuhi. slap-up adj (sl) bora.