slam

vt,vi bamiza, funga (mlango, dirisha) kwa kishindo ~ down weka kwa kishindo, fungika kwa kishindo. ~ (to) fungwa; jifunga kwa kishindo. n mshindo, kishindo. gland ~ kushinda yote.