slack
adj 1 goigoi -zembe, -vivu;-siomakini. keep a ~ rein on something (fig) tawala kizembe/bila kujali. 2 -liolegea, -a kudorora, -a kudoda. 3 (of water) -a mwendo wa pole pole; -zito. vi 1 ~ off zembea, legea. 2 ~ up punguza mwendo. 3 ~ away legeza (kamba, uzi n.k.). slacker n (colloq) mvivu, mtegaji. slackly adv. slackness. the ~ n 1 sehemu ya kamba, mnyororo, n.k. inayoning'inia/iliyolegea. take up the~ kaza kamba; (fig) dhibiti viwanda ili vifanye kazi kwa ufanisi. 2 (pl) suruali. 3 vumbi la mkaa wa mawe. slacken vt,vi 1 pungua/punguza, legeza/legea, zembea the gale is ~ening a little dhoruba inapungua kidogo. enslack away/off legeza.