skull

n fuvu la kichwa, fuu, bupuru (la kichwa). have a thick ~ wa mzito wa kuelewa. ~ and cross-bones alama ya hatari. skull-cap n kibaraghashia.