skirt

n 1 sketi. 2 (pl) mpaka, ukingo, pambizo. vi,vt 1 -wa mpakani, pakana na. 2 (pass near) pitia kando ~ along the coast ambaa pwani. 3 ~round something epuka (suala n.k.). skirting-board n (of a house) kiuno sakafu (mfano wa kiuno cha nyumba), ubao unaozunguka chumba.