skip

vi 1 chachawa, rukaruka. 2 (of games) ruka kamba. ~ping rope n kamba ya kurukia. 3 ruka (sehemu ya kazi, kitabu n.k). ~it! (sl) achilia!, acha!