ski

n skii, relitheluji: ubao mrefu ufungwao kwenye kiatu kutelezea kwenye theluji. ~-bob n baiskeli ya skii. ~-boots n mabuti ya skii. ~jump n mruko wa skii. ski-plane n eropleni ya skii. water-~ n skii ya majini. vi teleza katika theluji kwa skii. skier n mtelezaji wa skii. skiing.