sketch

n 1 mchoro wa haraka, picha ya haraka, kielelezo. ~ book/block n daftari ya kuchorea. ~-map n ramani yenye maelezo machache. 2 muhtasari, madokezo. 3 kichekesho (maandishi, mchezo wa kuigiza). vt,vi 1 chora upesi. ~ something out andika, sema, eleza kwa juu juu, andika muhtasari. sketcher n. sketchy adj a haraka haraka, hafifu. 2 -sio kamilifu. sketchily adv. sketchiness n.