skeleton

n 1 kiunzi cha mifupa a mere ~ gofu la mtu; mifupa mitupu. reduced to a ~ liokonda sana (kutokana na njaa/ugonjwa), mifupa mitupu. the ~ in the cupboard; the family ~ aibu iliyofichwa, jambo la kutia haya, siri ya ndani. 2 (of plan, etc), (of building) plani. 3 (attrib) ~ key n ufunguo malaya. ~ staff/crew/service etc n wafanyakazi wachache kuliko kawaida; wafanyakazi wa kazi za lazima.