skate

skate

1 n ice ~ n reli za barafu, vyuma vifungwavyo kwenye viatu kutelezea kwenye barafu. vi teleza kwenye barafu/sakafu. (fig) ~ on thin ice ongelea swala nyeti. ~-board n ubao mtelezo. ~-boarder n mtumiaji wa ubao wa kuteleza. skating n mchezo wa kuteleza. skating-rink n kiwanja cha kutelezea. skater n mtelezaji.

skate

2 n samaki wa bahari mkubwa na mpana kama taa.