1n 1 ukubwa about the ~ of an orange ukubwa wa chungwa. 2 kipimo, saizi what ~ do you wear? unavaa saizi/kipimo gani? that is about the ~ of it(colloq) ndivyo ilivyo, ndivyo ilivyokuwa, ndiyo hali yenyewe. 3 kiasi. vt panga kwa saizi/ukubwa. ~ somebody/ something up(colloq) pima/tathmini mtu/kitu. sizedn (suff) (in compounds) -enye ukubwa fulani medium ~d -enye ukubwa wa kati. sizeableadj kubwa kiasi.
size
2n dondo, gundi ya kung'arisha karatasi/plasta. vt tia dondo katika kitambaa, paka gundi katika karatasi/ plasta.