six

adj sita. ~ of one and half a dozen of the other ni mamoja; si tofauti sana. at ~es and sevens liochanganyikiwa, liovurugikiwa. in ~es sitasita. six-footer n (colloq) kitu/mtu mwenye urefu wa futi sita. ~- shooter n bastola ya risasi sita. sixfold adj, adv mara sita. sixteen adj, n kumi na sita. sixteenth n, adj kumi na sita. sixth n adj -a sita ~th form kidato cha sita. ~th sense n utambuzi wa moyoni. sixthly adv ya sita. sixtieth n adj -a sitini. sixty n, adj sitini a man of ~ty mtu wa umri wa miaka sitini. sixties n (pl) miaka ya sitini; miaka kati ya 60 - 69.