sinus

n uwazi katika mfupa (hasa ndani ya fuvu) unaowasiliana na mianzi ya pua. sinusitis n uvimbe katika uwazi huo.