sinister

adj 1 (liter) baya, -ovu; -a kisirani, -a shari ~ beginning mwanzo mbaya. 2 -a husuda, - baya. a ~ face uso wa husuda. 3 (on a shield) -a kushoto. bar ~ n alama katika ngao kuonyesha kizazi haramu.