single

adj 1 -moja (tu), peke yake, pasipo mwenzi. walk in ~ file tembea katika safu/msitari mmoja the most important ~event jambo la maana kuliko yote. ~ -barrelled adj (bunduki) -a mwanzi/mtutu mmoja. single-breasted adj (of a coat) -enye mstari mmoja wa vifungo. ~ handed adj, adv peke yake; bila msaada, bila kusaidiwa. ~ minded n -enye lengo moja tu; thabiti. single-seater n gari ndege ya kiti kimoja. singlestick n gongo/fimbo ya kupigania, mkwaju. single-track adj 1 (railway) -enye njia moja. 2 mseja, mhuni -a mtu mmoja. ~room n chumba cha mtu mmoja. n 1 (tennis and golf) mchezo wa wachezaji mmoja mmoja. 2 (short for a) ~ ticket n tiketi ya kwenda tu 3. (cricket) pointi moja. vt ~ somebody/something out chagua, teua; bagua. singly adv. singleness n. ~ness of purpose umakini katika lengo.