sinew

n 1 kano, mshipa. 2 (pl) misuli, nguvu, uwezo; (fig) namna/njia ya kupata nguvu. the ~s of war pesa za kununulia mahitaji ya vita. sinewy adj -a nguvu, -shupavu; -enye misuli.