adj 1 sahili. ~ interestn riba sahili ~ sentence sentensi sahili. 2 rahisi, -epesi ~ English Kingereza rahisi. 3 -a kawaida, -siorembwa, -siopambwa ~food chakula cha kawaida. 4 nyofu; wazi. ~ heartedadj mkweli. ~ mindedadj msema kweli; punguani. 5 peke, tupu ~truth ukweli mtupu (bila kutiwa chumvi). pure and ~(colloq) kabisa. 6 mshamba, -a kudanganyika kwa urahisi n(old use) mtishamba, dawa asili. simpletonn punguani, juha. simplicityn urahisi, wepesi. be simplicity itself(colloq) -wa rahisi sana. simplifyvi rahisisha, -fanya epesi. simplificationn kurahisisha, kuondoa shida. simplyadv 1 pasipo anasa, kawaida. 2 kabisa; hasa we simply have to do it hatuna budi kuifanya. 3 tu this medicine consists simply of herbs dawa hii ni mitishamba tu it is simply a matter of being careful ni suala tu la kujihadhari. simsimnseesesame.