simmer

vi 1 chemka polepole. 2 karibia kuwaka (kwa hasira n.k.). ~ down (fig) poa (baada ya kukasirika sana) ~ with laughter bana kufakwa kicheko. keep something at a ~/on the ~ chemsha polepole. n kuchemka polepole; kutokota.