silver

n 1 fedha. ~ plate n vyombo vilivyopakwa/chovywa fedha. be born with a ~ spoon in one's mouth zaliwa adinasi. 2 vitu vya fedha. 3 sarafu. 4 (attrib) -a fedha, kama fedha, -a rangi ya fedha; (of sounds) wazi, laini. ~ grey adj -a rangi ya fedha inayong'aa. the ~screen n senema, kitambaa, ubao wa kuonyeshea senema. 5 -a pili (bora), -a fedha. ~ medal n nishani ya fedha (kwa mshindi wa pili). (compounds)~ birch n mti wa rangi ya fedha. ~ fish n siridado. ~ jubilee n maadhimisho ya miaka 25. ~-paper n jaribosi; fedha. ~ side n mnofu paja. ~ smith n mfua fedha; sonara (wa vitu vya fedha). silver-tongued adj -enye ufasaha -enye kujua kuongea.~-ware n vyombo vya fedha (agh vijiko, uma, visu). ~ wedding n maadhimisho ya miaka 25 ya ndoa. vt,vi 1 paka rangi ya fedha, fanya kitu king'ae kama fedha. 2 geuka mvi. silvery adj. silvern adj (arch) fedha speech is ~n but silence is golden ni vyema kunyamaza kuliko kuongea.