silk
n 1 hariri; (tussore) lasi. 2 vazi la hariri. silk-screen n (printing) uchapaji wa hariri. ~-worm n nondo wa hariri. 3 (GB) mshauri (wa Malkia/Mfalme). take ~ (GB) wa mshauri wa Malkia/Mfalme. silken adj 1 laini, -ororo. 2 (old use or lit)-a hariri, kama hariri. ~en voice n sauti nyororo, sauti laini. silky adj -ororo, laini. silkiness n.