silage

n sileji: chakula cha mifugo. silence n kimya, unyamavu. ~ gives consent kimya ni dalili ya kukubali. reduce somebody to ~ nyamazisha mtu. in ~ kimya (kimya). vt nyamazisha; (int) kelele! nyamaza! ~r n kizuia kelele, kinyamazishi. silent adj -a kimya; -nyamavu, taratibu be silent -wa/kaa kimya; nyamaza. silent partner n mtu asiyeshiriki waziwazi. 3 (phon) sio tamkika, siosikika. silently adv.