signify

vt,vi 1 onyesha what does this~? hii inaonyesha nini? 2 wa na maana umuhimu. significance n maana, umuhimu of no significance bila maana. significant adj -enye maana; -enye umuhimu the only significant event tukio pekee la maana. significantly adv. signification n 1 maana. 2 kumaanisha, kuashiria. significative adj -a kumaanisha.