sight

n 1 kuona, kutazama; (range) peo, eneo; (upeo/ uwezo wa) kuona. know somebody by~ fahamu kwa sura. catch ~ of; have/get a ~ of anza kuona, fanikiwa/weza kuona. keep ~ of; keep somebody/something in ~ wa karibu ili kuweza kuona; kukumbuka, kuzingatia, kuweka akilini. lose ~ of toona; sahau. at/on ~ papohapo. at first ~ mwanzoni, kwa kuangalia mara ya kwanza. at (the) ~of kwa kuona. in/within ~of enye kuweza kuonekana. out of ~ sioweza kuonekana. come into ~ onekana, tokea. go out of ~ toweka. keep out of (somebody's) ~ jificha, kaa mbali. 2 maono, mtazamo in the ~of God mbele ya mungu. 3 mandhari, shani; (pl) sehemu maarufu (ya mahali). ~ seeing n kutembelea, kutalii sehemu maarufu. ~ seer n mtalii. a ~for sore eyes faraja. 4 a ~ n (colloq) kioja, mtu wa ajabu. 5 (often pl) dira, shabaha. take a ~ lenga shabaha. gun ~ n jicho la bunduki. 6 a ~ n (sl) kiasi kikubwa sana, tele. a ~ of money pesa nyingi sana. not by a long ~ kwa mbali, haikaribii. vt 1 ona, tazama, angalia 2. lenga/piga shabaha. sighting n kuonekana; (of the moon) kuandama, kuonekana. sighted adj. sightless adj kipofu. sightlessness n upofu. sightly adj -a kupendeza; -a kuvutia, murua, malidadi. sightliness n.