sigh

vi 1 tanafusi, shusha/vuta pumzi; hema (kwa majonzi au kwa kuliwaza). 2 ~ for something tamani sana. ~ (out) toa kwa kushusha pumzi. n kushusha pumzi, kutanafusi a ~ of relief kutanafusi.