sieve

n chekecheke, chungio, chekeche. have a head/memory like a ~ wa msahaulifu sana. vt chekecha; chunga. sift ~ (out) (from) vt,vi 1 chunga, chekecha; tia/tenganisha kwa kupitisha katika chekeche. 2 pekua; (fig) chunguza kwa makini. 3 dondoka; vuja, pita kama kwamba inachujwa. ~er n kichungio, chekecho/chekecheke.