shuttle

n kipisha-uzi; kipisha-mshindo. ~ cock n mpira wa vinyoya. ~ diplomacy n ushauriano wa kidiplomasia (ambao mabalozi hutembelea vikundi vinavyohusika). space ~ n sayari/roketi ya safari fupi za anga. ~ service n safari fupi fupi za kwenda na kurudi. vt,vi enda -rudi/peleka na kurudi.