shrug

vt pandisha/inua mabega (kwa ishara ya kusitasita). ~ something off dharau. n kupandisha mabega (kutoa ishara ya kutojali).