shrift

n (old use) maungamo. give somebody short ~ -pa mtu jibu la mkato; sikiliza shingo upande; toshughulikia ipasavyo; (old use) -pa mtu muda mfupi kati ya hukumu na kunyongwa.